Ferruccio Lamborghini
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,667
- 2,595
Nini siri ya wanawake na mabinti wa siku hizi kupenda kujitoboa pua na kuvaa vipini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeWanafikiri wana upungufu fulani ndio maana wanafanya hivyo, Kuishi hivyo hivyo kama walivyozaliwa ni vigumu katika soko la ajira.
Nataka kutoboa cha pili apaSiku hizi.!??umezaliwa mwaka gani kwani ndugu..?? akina bi chau wale wa siku hizi?? Mimi tuu bibi wa mamangu alitoboa pua enzi hizo na ulikuwa kama urembo tuu kwao,.
Cha wapi bebe..!?😎Nataka kutoboa cha pili apa
Wewe Unasema pua tu. Wengi wanatoboa kisimi na nyonyoNini siri ya wanawake na mabinti wa siku hizi kupenda kujitoboa pua na kuvaa vipini?
Hahahah cha pili bwana cha apa etiCha wapi bebe..!?[emoji41]
Diamond nae katoboa puaNini siri ya wanawake na mabinti wa siku hizi kupenda kujitoboa pua na kuvaa vipini?
Kuna mmoja nilikuta katoboa hadi lips za K 😁😁Watu wagomvi sanaaaa
Waambie tunatoboa ulimi, kitovu,...... sembuse pua🤣🤣🤣
Ulimkuta wapi🤣🤣🤣🤣Kuna mmoja nilikuta katoboa hadi lips za K 😁😁
Kwenye harakati zangu 🙊🙊🙊Ulimkuta wapi🤣🤣🤣🤣