moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,151
- 2,979
Kujipamba ni silka ya mwanamke, angeshangaa wanaume kutoga masikio labda angeeleweka, kwani ndilo ambalo zamani halikuwepo.Siku hizi.!??umezaliwa mwaka gani kwani ndugu..?? akina bi chau wale wa siku hizi?? Mimi tuu bibi wa mamangu alitoboa pua enzi hizo na ulikuwa kama urembo tuu kwao,.
Du! Hiyo kali.Ukitoboa pua inasaidia hata mtu akikuziba pua unapumulia kwenye kile kishimo/kitibo
Pale kati ya pua eee🤡Hahahah cha pili bwana cha apa eti
Ndio maana nikamuuliza kazaliwa lini mtoa uzi...Kujipamba ni silka ya mwanamke, angeshangaa wanaume kutoga masikio labda angeeleweka, kwani ndilo ambalo zamani halikuwepo.
Nini siri ya wanawake na mabinti wa siku hizi kupenda kujitoboa pua na kuvaa vipini?