Kwanini wanawake ndio wengi wanatafuta wenza mitandaoni ?

Kisai

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Posts
28,481
Reaction score
28,749
Hili suala limekithiri sana,na marejeo yangu ni humu humu jf.

Kwa kukithiri kwake mpaka imefikia hatua kuhisi kama vile wanatuchora au wanafanya utafiti fulani,yaani kwa ufupi hawako serious kivile.

Huwa kuna maswali kadha wa kadha najiuliza.

Kila mwanamke anakuja na gia yake,ila walio wengi sababu zao zinafanana,yaani unakutwa wao tu ndio wananyanyasika na kutupa lawama zote kwetu sisi,jambo ambalo kiukweli si la kweli. Kwa maana wao madhaifu yao huwa wanayaficha.

Lakini iweje unakuja kutafuta mwenza wa maisha katika mitandao ? Hasa jf,mtandao ambao uhalisia wa watu wa humu si halisi ?
 
Kwanini wanawake ni wengi kuliko wanaume?
Hili swali hapa si mahala pake bro ?!

Ulitakiwa pia ujiulize ni idadi gani ya wanawake wanatumia mitandao ya kijamii na wangapi hawatumii mitandao hii ya kijamii ?

Ungekuwa na jibu la suali hilo au ungejiuliza kabla ya kuuliza suali lako,nina uhakika usingeuliza suali ulilouliza.

Nini maanisha hapa,tuwe makini kabla ya kujibu au kuuliza swali kutokana na hoja husika.

Nakupa ziada,ujifunze kuuliza maswali kwa munasaba husika.
 
Kwahiyo walioko JF si watu halisi?? ni mzimu?
 
Wanaume wengi ni dhaifu mbele ya wanawake katika suala la mapenzi,hii inaweza kua ni mbinu mpya............

Kua makini sana!
Niko makini bro ndio mana nimeona madhaifu na ujinga wa wanawake wa zama hizi.
 
Takwimu zinaonesha idadi ya wanawake duniani inazidi idadi ya wanaume sasa ukijua hilo tu inakutosha kujua kwanini wanaongoza kwa kutafuta wenza mitandaoni.

Kuna mambo mengine sio lazima utumie nguvu kuwaza.
Hili swali hapa si mahala pake bro ?!

Ulitakiwa pia ujiulize ni idadi gani ya wanawake wanatumia mitandao ya kijamii na wangapi hawatumii mitandao hii ya kijamii ?

Ungekuwa na jibu la suali hilo au ungejiuliza kabla ya kuuliza suali lako,nina uhakika usingeuliza suali ulilouliza.

Nini maanisha hapa,tuwe makini kabla ya kujibu au kuuliza swali kutokana na hoja husika.

Nakupa ziada,ujifunze kuuliza maswali kwa munasaba husika.
 
Takwimu zinaonesha idadi ya wanawake duniani inazidi idadi ya wanaume sasa ukijua hilo tu inakutosha kujua kwanini wanaongoza kwa kutafuta wenza mitandaoni.

Kuna mambo mengine sio lazima utumie nguvu kuwaza.
Unajua nazungumzia wanawake gani ? Nazungumzia wanawake wa mitandaoni.

Unajua takwimu ya wanawake wanao tumia mitandao dhidi ya wasiotumia mitandao ?
 
Tuseme sijui wanawake wanaotumia Mitandaoni.

Unajuaje kuwa wanawake ndiyo huuongoza kwa kutafuta wenza mitandaoni? Una Takwimu zao.
 
Mwanamke aliyejitunza na kuadabika daima hawezi thubutu kutafuta mwanaume iwe mtaani alipo au hata mitandaoni maana "Chema chajiuza,kibaya chajitembeza"! Ni lazima wanaume watamwona na kumtafuta kwa udi na uvumba.
Sasa mtoa mada kama mwanamke anajulikana mtaa mzima kuwa ni mgawa mbunye aliyetukuka unafikiri kuna mwanaume yeyote atakayemfuata??
Jambo jingine ni kuwa wengi wa wanawake watafutao wenza mitandaoni ni matapeli wa kiwango cha lami,ukiingia kichwa kichwa imekula kwako
 
So, wanatumia mitandao kutafuta wanaume maana hapo mtaani kwao washajiharibia sifa za kufuatwa na wanaume
 
Tuseme sijui wanawake wanaotumia Mitandaoni.

Unajuaje kuwa wanawake ndiyo huuongoza kwa kutafuta wenza mitandaoni? Una Takwimu zao.
Hili swali zuri. Hii ni kutokana na wingi wao unaodhihirika mitandaoni katika suala hili.

Mathalani mpaka muda huu nimeona mabango zaidi ya wanawake wa 2 au 3 ndani ya jf huku ikiwa sijaona hata bango moja kutoka upande wetu.

Hapa nimetumia wingi wa matukio yanayofanywa na wahusika.

Ama kuhusu kujua idadi kwa namba siwezi kukupa kwa sababu sina na hali hii haibadilishi ukweli wa mambo katika wingi wao.
 
Mwanamke aliyejitunza na kuadabika daima hawezi thubutu kutafuta mwanaume iwe mtaani alipo au hata mitandaoni maana "Chema chajiuza,kibaya chajitembeza"! Ni lazima wanaume watamwona na kumtafuta kwa udi na uvumba.
Sasa mtoa mada kama mwanamke anajulikana mtaa mzima kuwa ni mgawa mbunye aliyetukuka unafikiri kuna mwanaume yeyote atakayemfuata??
Jambo jingine ni kuwa wengi wa wanawake watafutao wenza mitandaoni ni matapeli wa kiwango cha lami,ukiingia kichwa kichwa imekula kwako
Umesema kweli bro. Heshima kwako.
 
Kuna mrembo mmoja aliwahi nambia; nyie wanaume mnaoa kila mnapotaka kuoa, hata hujajipanga unaweza kujipanga kwa kujiwekea malengo ya muda kadhaa.

Ila sisi (wao- wanawake) wanaweza kuwa anahitaji kuolewa ila kila anayeingia anakula na kuondoka tu.

Majibu yako mtoa mada;
1. Ni wengi mno ukilinganisha na jinsia me
2. Hawawezi kuamua kwamba mwaka flani nitaolewa. Ndiyo maana mitandao huwa sehemu ya msaada pia kwao na kwetu domo zege.
3.
 
Back
Top Bottom