Hili suala limekithiri sana,na marejeo yangu ni humu humu jf.
Kwa kukithiri kwake mpaka imefikia hatua kuhisi kama vile wanatuchora au wanafanya utafiti fulani,yaani kwa ufupi hawako serious kivile.
Huwa kuna maswali kadha wa kadha najiuliza.
Kila mwanamke anakuja na gia yake,ila walio wengi sababu zao zinafanana,yaani unakutwa wao tu ndio wananyanyasika na kutupa lawama zote kwetu sisi,jambo ambalo kiukweli si la kweli. Kwa maana wao madhaifu yao huwa wanayaficha.
Lakini iweje unakuja kutafuta mwenza wa maisha katika mitandao ? Hasa jf,mtandao ambao uhalisia wa watu wa humu si halisi ?