Hili swali hapa si mahala pake bro ?!Kwanini wanawake ni wengi kuliko wanaume?
Kwahiyo walioko JF si watu halisi?? ni mzimu?Hili suala limekithiri sana,na marejeo yangu ni humu humu jf.
Kwa kukithiri kwake mpaka imefikia hatua kuhisi kama vile wanatuchora au wanafanya utafiti fulani,yaani kwa ufupi hawako serious kivile.
Huwa kuna maswali kadha wa kadha najiuliza.
Kila mwanamke anakuja na gia yake,ila walio wengi sababu zao zinafanana,yaani unakutwa wao tu ndio wananyanyasika na kutupa lawama zote kwetu sisi,jambo ambalo kiukweli si la kweli. Kwa maana wao madhaifu yao huwa wanayaficha.
Lakini iweje unakuja kutafuta mwenza wa maisha katika mitandao ? Hasa jf,mtandao ambao uhalisia wa watu wa humu si halisi ?
Niko makini bro ndio mana nimeona madhaifu na ujinga wa wanawake wa zama hizi.Wanaume wengi ni dhaifu mbele ya wanawake katika suala la mapenzi,hii inaweza kua ni mbinu mpya............
Kua makini sana!
Una akili fupi sana bro. Sijibu shubha huwa najibu maswali.Kwahiyo walioko JF si watu halisi?? ni mzimu?
Hili swali hapa si mahala pake bro ?!
Ulitakiwa pia ujiulize ni idadi gani ya wanawake wanatumia mitandao ya kijamii na wangapi hawatumii mitandao hii ya kijamii ?
Ungekuwa na jibu la suali hilo au ungejiuliza kabla ya kuuliza suali lako,nina uhakika usingeuliza suali ulilouliza.
Nini maanisha hapa,tuwe makini kabla ya kujibu au kuuliza swali kutokana na hoja husika.
Nakupa ziada,ujifunze kuuliza maswali kwa munasaba husika.
Unajua nazungumzia wanawake gani ? Nazungumzia wanawake wa mitandaoni.Takwimu zinaonesha idadi ya wanawake duniani inazidi idadi ya wanaume sasa ukijua hilo tu inakutosha kujua kwanini wanaongoza kwa kutafuta wenza mitandaoni.
Kuna mambo mengine sio lazima utumie nguvu kuwaza.
Tuseme sijui wanawake wanaotumia Mitandaoni.Unajua nazungumzia wanawake gani ? Nazungumzia wanawake wa mitandaoni.
Unajua takwimu ya wanawake wanao tumia mitandao dhidi ya wasiotumia mitandao ?
Hili swali zuri. Hii ni kutokana na wingi wao unaodhihirika mitandaoni katika suala hili.Tuseme sijui wanawake wanaotumia Mitandaoni.
Unajuaje kuwa wanawake ndiyo huuongoza kwa kutafuta wenza mitandaoni? Una Takwimu zao.
Umesema kweli bro. Heshima kwako.Mwanamke aliyejitunza na kuadabika daima hawezi thubutu kutafuta mwanaume iwe mtaani alipo au hata mitandaoni maana "Chema chajiuza,kibaya chajitembeza"! Ni lazima wanaume watamwona na kumtafuta kwa udi na uvumba.
Sasa mtoa mada kama mwanamke anajulikana mtaa mzima kuwa ni mgawa mbunye aliyetukuka unafikiri kuna mwanaume yeyote atakayemfuata??
Jambo jingine ni kuwa wengi wa wanawake watafutao wenza mitandaoni ni matapeli wa kiwango cha lami,ukiingia kichwa kichwa imekula kwako
So, wanatumia mitandao kutafuta wanaume maana hapo mtaani kwao washajiharibia sifa za kufuatwa na wanaume
[emoji122] [emoji122]Naunga mkono hoja.
Mfano mimi hapa si mtu wa kawaida mkuuKwahiyo walioko JF si watu halisi?? ni mzimu?