Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Ni sahihi kabisa.Pamoja na kuwa hii gender ipo vizuri kwenye maswala ya usafi wa mwili na mazingira kwa ujumla,kwanini hasa wanakuwa wanapatwa na tatizo hili?
Wataalamu naombeni majibu,toka nimekuwa na ufahamu na kuishi kwenye jamii mbali mbali ambazo nimebahatika kuishi nimekuwa nikiona wanawake wanapatwa na tatizo hili zaidi
Uchungu wa kubanwa pumbu hauna mfano wowote Duniani.Sema kweli yaani wakati wa kujifungua mtu unauma meno yanaweza kupasuka.
Pia tunakula kula sweets sana
Asante kwa majibu DaktarNi sahihi kabisa.
Hii ni kwa sababu wanawake wanapitia vipindi tofauti za kubadilika kwa hormone. Haswa kipindi cha ujauzito na siku zao za hedhi.
Kubadilika huko kunaleta ubadilikaji wa utengenezaji wa mate na vichochezi vya usagaji wa chakula. Tofauti na wanaume ambao hormone zao hazibadiliki sana.
Si hilo tu, wanawake huwa wanatafuna sana vitu tofauti tofauti zaidi ya wanaume. Ni watumiaji wakubwa wa vyakula vyenye sukari (Big G na peremende), kula udongo, pemba, nk.
Tofauti na wanaume ambao idadi yao kwa ukubwa hawapendelei sana ulaji wa vitu hivyo.
Lakini, vyote hivyo vina nafasi ndogo sana katika kuleta tatizo la meno na kinywa kwa ujumla wake.
Kutozingatia usafi wa kinywa kwa ufasaha ndiyo sababu kuu ya kuoza kwa meno na harufu mbaya kinywani.
Jf kuna watuUchungu wa kubanwa pumbu hauna mfano wowote Duniani.
Wanawake ni waongo, sio ajabu kujifungua hakuumi kama wanavyotaka kutuaminisha.
1.Wakiwa wadogo wanakula pipi sana na chocolate 🤣Pamoja na kuwa hii gender ipo vizuri kwenye maswala ya usafi wa mwili na mazingira kwa ujumla,kwanini hasa wanakuwa wanapatwa na tatizo hili?
Wataalamu naombeni majibu,toka nimekuwa na ufahamu na kuishi kwenye jamii mbali mbali ambazo nimebahatika kuishi nimekuwa nikiona wanawake wanapatwa na tatizo hili zaidi
Tatizo ni kupenda vitu vyenye sukari sukari kama shikirimu, pipi na kashata za sukari.Pamoja na kuwa hii gender ipo vizuri kwenye maswala ya usafi wa mwili na mazingira kwa ujumla,kwanini hasa wanakuwa wanapatwa na tatizo hili?
Wataalamu naombeni majibu,toka nimekuwa na ufahamu na kuishi kwenye jamii mbali mbali ambazo nimebahatika kuishi nimekuwa nikiona wanawake wanapatwa na tatizo hili zaidi
Aiseee,umeuwa1.Wakiwa wadogo wanakula pipi sana na chocolate 🤣
2.Wakiwa mabinti birthday haziwaishi kila saa kufakamia keki tu.
3. Wakiwa wazee kufakamia mijulubeng kama kazi.
Inshort ni waroho sana 🤣🤣🤣