Kwanini wanawake ndiyo husumbuliwa zaidi na meno kuuma au kutoboka?

Wagumu Tunadumu

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2022
Posts
5,276
Reaction score
17,354
Pamoja na kuwa hii gender ipo vizuri kwenye maswala ya usafi wa mwili na mazingira kwa ujumla,kwanini hasa wanakuwa wanapatwa na tatizo hili?

Wataalamu naombeni majibu,toka nimekuwa na ufahamu na kuishi kwenye jamii mbali mbali ambazo nimebahatika kuishi nimekuwa nikiona wanawake wanapatwa na tatizo hili zaidi
 
Ni sahihi kabisa.

Hii ni kwa sababu wanawake wanapitia vipindi tofauti za kubadilika kwa hormone. Haswa kipindi cha ujauzito na siku zao za hedhi.

Kubadilika huko kunaleta ubadilikaji wa utengenezaji wa mate na vichochezi vya usagaji wa chakula. Tofauti na wanaume ambao hormone zao hazibadiliki sana.

Si hilo tu, wanawake huwa wanatafuna sana vitu tofauti tofauti zaidi ya wanaume. Ni watumiaji wakubwa wa vyakula vyenye sukari (Big G na peremende), kula udongo, pemba, nk.
Tofauti na wanaume ambao idadi yao kwa ukubwa hawapendelei sana ulaji wa vitu hivyo.

Lakini, vyote hivyo vina nafasi ndogo sana katika kuleta tatizo la meno na kinywa kwa ujumla wake.

Kutozingatia usafi wa kinywa kwa ufasaha ndiyo sababu kuu ya kuoza kwa meno na harufu mbaya kinywani.
 
Sema kweli yaani wakati wa kujifungua mtu unauma meno yanaweza kupasuka.

Pia tunakula kula sweets sana
 
Na siku hizi Azam kaleta lambalamba yaani daladala likisimama utaona wanawake wanahangaika kwenye vipochi kutafuta jero.
 
Ni sahihi kabisa.

Hii ni kwa sababu wanawake wanapitia vipindi tofauti za kubadilika kwa hormone. Haswa kipindi cha ujauzito na siku zao za hedhi.

Kubadilika huko kunaleta ubadilikaji wa utengenezaji wa mate na vichochezi vya usagaji wa chakula. Tofauti na wanaume ambao hormone zao hazibadiliki sana.

Si hilo tu, wanawake huwa wanatafuna sana vitu tofauti tofauti zaidi ya wanaume. Ni watumiaji wakubwa wa vyakula vyenye sukari (Big G na peremende), kula udongo, pemba, nk.
Tofauti na wanaume ambao idadi yao kwa ukubwa hawapendelei sana ulaji wa vitu hivyo.

Lakini, vyote hivyo vina nafasi ndogo sana katika kuleta tatizo la meno na kinywa kwa ujumla wake.

Kutozingatia usafi wa kinywa kwa ufasaha ndiyo sababu kuu ya kuoza kwa meno na harufu mbaya kinywani.
Asante kwa majibu Daktar
 
Pamoja na kuwa hii gender ipo vizuri kwenye maswala ya usafi wa mwili na mazingira kwa ujumla,kwanini hasa wanakuwa wanapatwa na tatizo hili?

Wataalamu naombeni majibu,toka nimekuwa na ufahamu na kuishi kwenye jamii mbali mbali ambazo nimebahatika kuishi nimekuwa nikiona wanawake wanapatwa na tatizo hili zaidi
1.Wakiwa wadogo wanakula pipi sana na chocolate 🤣

2.Wakiwa mabinti birthday haziwaishi kila saa kufakamia keki tu.

3. Wakiwa wazee kufakamia mijulubeng kama kazi.

Inshort ni waroho sana 🤣🤣🤣
 
Tatizo ni kupenda vitu vyenye sukari sukari kama shikirimu, pipi na kashata za sukari.
 
1.Wakiwa wadogo wanakula pipi sana na chocolate 🤣

2.Wakiwa mabinti birthday haziwaishi kila saa kufakamia keki tu.

3. Wakiwa wazee kufakamia mijulubeng kama kazi.

Inshort ni waroho sana 🤣🤣🤣
Aiseee,umeuwa

lAkin wanateseka sana
 
Back
Top Bottom