Kwanini wanawake ni bahili sana?

Kweli ndo maana we ni mzee kama akili zako.
 
Sawa mkuu mimi nilikuwa nikifanya tu utani zaidi wajua tena JF sometimes tunachangamshana,, kama ni kweli mkuu kuna pahala flani ulilegeza na kumdekeza sana na ndio maana she act like that, mwanamke aliyekua akili anakuelewa fasta na kujisoti especially wale mnaofanana lengo katika mahusiamo yenu, lakini mkuu kama mpenzi wako ametoka mbali kwa ajili yako onyesha basi kujali, tafuta muda ukamuone hata kama ni dk 15 kaa nae kdg, hakikisha alipofikia usalama wake na concern nyingine ndogo ndogo, kumbatianeni mkiss kdg, mweleze umebanwa na mitikasi hakuna namna utaweza kuacha, endelea kumpigia simu kdg kdg kujua status yake.Imaisha hiyo sasa wewe unatreat mpenzi wako kama robot😀
 
Mkuu una uhakika ukimtreat ivo mpenzi wako hamtoachana mpaka kifo sio? Sijisifii but am sure mimi ni mzoefu sana wa ayo mambo kuliko wewe na hayako ivo unavofikiria.

Iyo Gender haieleweki na haiitaji huruma hata kidogo, ukicheka nayo kidogo tu unavuna mabua.!!
 
Naona kabisa signs zote za kiwango cha juu kbs cha selfishness, na hii ni saratani mpya ya kizazi chenu, nina wadogo zangu wengi sana wako kama wewe, uko kwenye ndoa?, kama bado subiri kdg, ndoa nyingi zina matatizo au kuvunjika kwa kasi siku hizi, one of a big reason ni mtu kujiona yeye ndo mwenye stahiki zaidi na sauti ya juu lwenye mahusiano ya biniadam wawili.
 
Why not 24/7 ?? Izo 2hrs left ni za aaje ?
Hapo nimekuja kimahesabu zaidi mkuu kuna kitu kinaitwa pie kwa lugha nyepesi tunaita given yaani iko hivyo haibadiliki kamwe hiyo Pie
 
Ulipanga vipi miadi ya kuonana wakati upo busy??
Uliruhusu vipi aje wakat Huna pesa za kumhudumia??
You're still a boy!!
Hata kama ulipata emergency kuja kwake ni jukumu lako kwa kila kitu atatakiwa kutumia ya kwake kwa dharula tu..
Ila watoto wa buku 2 mna matatizo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…