Kwanini wanawake ni bahili sana?

Kwanini wanawake ni bahili sana?

Ughonile..

Nina mpenzi wangu mmoja juzi katoka mkoa kuja kunitembelea ikabidi nilipie room hotelini tukaekae siku kadhaa then kila mtu aendelee na mambo mengine ya kujenga taifa.

Mimi ni mtu wa pilikapilika muda mwingi niko bize so alivokuja nikamwambia leo hatutaweza kuonana akakubali japo kishingo upande kwa maneno kibao mara bora arudi zake tu mimi sina time nae na blaablaa kibao ikabidi nimrudishe kwenye mfumo, nikatuma Taxi kwenda kumchukua hadi hotelini kwa miyadi ya kukutana kesho yake maana iyo siku nilikua occupied kidogo.

Alifika mida ya mchana, kwenye kuchatichati akanambia hana hela yoyote hata ya kula nikamwambia mimi pia sina atumie tu yakwake nikija ntamrudishia akasema hela ipo kwenye laini yake ya Lipa Namba kashamtumia mama yake hela kiasi so hawezi kutoa tena kuepuka makato makubwa. Moyoni nikajisemea huyu hanijui vizuri 😀
Nikamwambia mimi pia sina hela yoyote leo pesa yote ipo kwenye fixed account, akasema basi atashinda tu njaa nikamjibu poa akidhani natania maana kama ni hela anajua kweli ninayo namimi nilikua nawaza ivoivo alivokua anawaza yeye.

Hamuezi amini yule dada alishinda njaa na kulala njaa kisa kuepuka makato, kesho yake navoenda kumcheki asubuhi nakuta kachoka balaa ananambia hajala chochote tangu alivokuja aisee nilijisikia vibaya ukizingatia anasumbuliwa na vidonda vya tumbo pia, ilinifikirisha sana inakuaje mtu anashindwa kulipia chakula kisa makato au tozo.!!?

tulivoshuka kwenda resta kula akaenda moja kwa moja kwa wakala kutoa kiasi cha 150,000/= taslimu kwa madai kuwa jana yake nilishindwa kumjali so bora alipe bills zake mwenyewe.

Nishakutana na cases kibao za wanawake wa design iyo kwenye mahusiano ila hii ya huyu mpenzi wangu imeniacha dilemma, mwenye kujua sababu atuambie
😂😂😂 khaaa huyo sio bahili ni mjinga umepata mpenzi tahira pole mwamba
 
Ulikuwa na mpango wa kula asali kweli wewe, kitendo tu cha kuairisha kuonana nae siku kafika ni tatizo la kwanza, usifanye tena hilo kosa utakuja kula makombo kesho yake mzee, hutakuta hata chembe ya genye, mwanamke mwenye genye ana raha yake bwana, piga hata lisaa sepa kaendelee na kulijenga Taifa uko bize kumtathimini bibie kwamba hajala ila unajua na wewe ulilala njaa pia?!Mzigo umetoka mkoani we unabung’aa bung’aa tu eti uko bize, shukuru Mungu kama haku scroll simu yake kukutafutia mbadala, ukute hiyo laki na 50 imetoka kwa mwanaume mwenzako.😀, acha tu hawa wanawake watupende sisi wazee.
Kiufupi ni ndege wangu mkuu hamna haja ya manati
 
Hebu tuma picha yake mkuu tuone kichwa sina haja nacho tuma kuanzia shingoni kwenda chini kuna kitu ntakwambia 🤣🤣🤣
Sikaki uniaminishe wala kuniaminisha chochote mkuu, anonymity kati yetu ibakie kuwa ivoivo unless unanijua maana humu wengi wananijua sababu ID nayotumia kwenye biashara ndo natumia kukujibu apa.

Kiufupi ni pisi Grade A isipokua ubahili tu ndo unaipunguzia maksi
 
labda huyo wako mzee usijumuishe wanawake wote, maana kuna wanaume bakhili vile vile..!! Hizo ni tabia tu za mtu hazina muunganiko wa moja kwa moja na jinsia..!!
Acheni ubahili, kuna mmoja nmewahi kuwa nae huyo anakwambia hawezi kumnunulia mwanaume chochote kwa sababu yeye ni mwanamke.!!
 
Labda awe kamranda sana baba ake ila mwanamke yeyote mrembo anataka hela, kama kakupenda atapunguza invoice tu, ila kumtunza ni 22/7=3.14= ♊️= Pie 😂
 
Sema na ww Kauzu Mzee
Mkuu, huyo dada ni mfanyakazi serikalini na mjasiriamali pia na nilifanya makusudi ili nichanganue baadhi ya mambo.!!

Sasa kwa situation kama hiyo ikitokea nikamuoa huko kwenye ndoa itakuaje sababu nishagundua tayari ni type ya wale wanawake wanaoona pesa zao chungu ila za wanaume ndo tamu
 
Back
Top Bottom