Kwanini Wanawake siku hizi wanaenda sana gym, mazoezi na kuogelea?

Ni sehemu ya afya wacha wafanye
 
Healthy living style, pia wadada wengi walio katika umri wa kutafuta mtoto wanashauriwa wapunguze mafuta mwilini, mafunta yakiwa mengi yanachelewesha uwezo wa kuconsive.
 
Ni katika juhudi za kutunza afya zao ili kuiweka miili yao katika afya njema ili kusogeza life span.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…