Kwanini wanawake tunachukiana sana?

Kwanini wanawake tunachukiana sana?

Yani wanawake wengi tena haswa awa wanajiita ma BBF ndo kabisa, mtu anatoa habari za huyu anapeleka kwa mwingine Alaf anajifanya oh my babe I always got your back kumbe unafki mtu akiwa pembeni anakuponda na kuanika mambo yako.

Ukiachana na hili unaweza ukawa umependeza ukaenda sehemu or hata kazini unakuta wanawake wanaanza kukuchukia gafla tu bila sababu na ukimuuliza kwann unamchukia yule hana sababu za msingi, uki mind your own business wanaanza umbea kukuongelea mara anaringa mara hivi. Na especially ukiwa your beautiful, unajipenda na huna mambo yake ya kushobokea watu ndo kabisaa.

Yani Mimi honestly Naona bora wanaume they got each other’s back ( japo sio wote) Ila most of them and huwakuti wakiongea habari za mwanaume mwenzao especially ikiwa very personal. Na ndo maana urafiki wao unadumu mpaka wanakua kama familia.

From now onwards I will be having only male friends [emoji19][emoji19].
Sasa mie nakupa mkasa wangu kiufupi matukio tofauti . Secondary I have met a wounderful best friend her family have everything we need and more . Lakini sikujua huyo dada mama yake alikuwa mshirikina , alieenda kutuunganisha urafiki kichawi ukawa kama ndugu hiwezi amini mama yake akaja kufa ila wao walinitumia kwa riziki zao za kila siku, ila kuja kujua ni baada ya kuwa serious nataka niolewe , acha tu nimeteseka mtiririko wa marafiki zangu wanaleta shida nikaja nikapata muhindi wa kunioa . Wapambe wakanieendea kwa mganga wakavuruga tena nisiolewe wakatupa hadi majini nilipauka hata maji sikuwa na yameza jingine , bibi yangu mzaa mama alikuwa mshirikina nilikoma eti nilipewa misuko suko hadi nikaona basi ngoja nitulie kabisa .

Kuanzia kazi hadi maisha yakawaida yaliharibika walicopy na kupaste i admit mie sio more beutiful but Iam . Walinifunga hadi basi nikafunga hadi biashara yangu saivi na uguzwa tu kwa hili na lile na mambo mengi walionivuruguia
 
Hayajakukuta unakuja unaambiwa kabisa flani anakusema vibaya Au sometimes unamfuma kabisa rafiki yako anakuongelea vibaya
Ukimfuma mtu anakuongelea vby usichukie tena changia hata mada, mtu akikufuata ety fulani alikua akikusema wewe muhuni mwambie mbona amechelewa kunijua, wew mchafu jib mchafu haswaa.
Maisha rahisi momy
 
Sasa mie nakupa mkasa wangu kiufupi matukio tofauti . Secondary I have met a wounderful best friend her family have everything we need and more . Lakini sikujua huyo dada mama yake alikuwa mshirikina , alieenda kutuunganisha urafiki kichawi ukawa kama ndugu hiwezi amini mama yake akaja kufa ila wao walinitumia kwa riziki zao za kila siku, ila kuja kujua ni baada ya kuwa serious nataka niolewe , acha tu nimeteseka mtiririko wa marafiki zangu wanaleta shida nikaja nikapata muhindi wa kunioa . Wapambe wakanieendea kwa mganga wakavuruga tena nisiolewe wakatupa hadi majini nilipauka hata maji sikuwa na yameza jingine , bibi yangu mzaa mama alikuwa mshirikina nilikoma eti nilipewa misuko suko hadi nikaona basi ngoja nitulie kabisa .

Kuanzia kazi hadi maisha yakawaida yaliharibika walicopy na kupaste i admit mie sio more beutiful but Iam . Walinifunga hadi basi nikafunga hadi biashara yangu saivi na uguzwa tu kwa hili na lile na mambo mengi walionivuruguia
Hapa unamaanisha waliokutendea ubaya walikuwa ni wanawake wenzako?
 
Sawa Sawa. Lakini unaonaje pamoja na mama kuwa rais bado haijawabadilisha ninyi wanawake kifrika na kuanza kupendana? Unique Flower
Tena wamezidi kwenda kwa babu balaa yaani saivi na cheza kwa stepu maana unapewa mikasa na majirani hadi basi . Yaani nibora uwe na wanafiki wengi kuliko rafiki mmoja unayemfungulia maisha yako
 
Sasa mie nakupa mkasa wangu kiufupi matukio tofauti . Secondary I have met a wounderful best friend her family have everything we need and more . Lakini sikujua huyo dada mama yake alikuwa mshirikina , alieenda kutuunganisha urafiki kichawi ukawa kama ndugu hiwezi amini mama yake akaja kufa ila wao walinitumia kwa riziki zao za kila siku, ila kuja kujua ni baada ya kuwa serious nataka niolewe , acha tu nimeteseka mtiririko wa marafiki zangu wanaleta shida nikaja nikapata muhindi wa kunioa . Wapambe wakanieendea kwa mganga wakavuruga tena nisiolewe wakatupa hadi majini nilipauka hata maji sikuwa na yameza jingine , bibi yangu mzaa mama alikuwa mshirikina nilikoma eti nilipewa misuko suko hadi nikaona basi ngoja nitulie kabisa .

Kuanzia kazi hadi maisha yakawaida yaliharibika walicopy na kupaste i admit mie sio more beutiful but Iam . Walinifunga hadi basi nikafunga hadi biashara yangu saivi na uguzwa tu kwa hili na lile na mambo mengi walionivuruguia

So sad [emoji20] Polee sanaa dear
Mpaka nimeogopa
 
Back
Top Bottom