Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Sasa mie nakupa mkasa wangu kiufupi matukio tofauti . Secondary I have met a wounderful best friend her family have everything we need and more . Lakini sikujua huyo dada mama yake alikuwa mshirikina , alieenda kutuunganisha urafiki kichawi ukawa kama ndugu hiwezi amini mama yake akaja kufa ila wao walinitumia kwa riziki zao za kila siku, ila kuja kujua ni baada ya kuwa serious nataka niolewe , acha tu nimeteseka mtiririko wa marafiki zangu wanaleta shida nikaja nikapata muhindi wa kunioa . Wapambe wakanieendea kwa mganga wakavuruga tena nisiolewe wakatupa hadi majini nilipauka hata maji sikuwa na yameza jingine , bibi yangu mzaa mama alikuwa mshirikina nilikoma eti nilipewa misuko suko hadi nikaona basi ngoja nitulie kabisa .Yani wanawake wengi tena haswa awa wanajiita ma BBF ndo kabisa, mtu anatoa habari za huyu anapeleka kwa mwingine Alaf anajifanya oh my babe I always got your back kumbe unafki mtu akiwa pembeni anakuponda na kuanika mambo yako.
Ukiachana na hili unaweza ukawa umependeza ukaenda sehemu or hata kazini unakuta wanawake wanaanza kukuchukia gafla tu bila sababu na ukimuuliza kwann unamchukia yule hana sababu za msingi, uki mind your own business wanaanza umbea kukuongelea mara anaringa mara hivi. Na especially ukiwa your beautiful, unajipenda na huna mambo yake ya kushobokea watu ndo kabisaa.
Yani Mimi honestly Naona bora wanaume they got each other’s back ( japo sio wote) Ila most of them and huwakuti wakiongea habari za mwanaume mwenzao especially ikiwa very personal. Na ndo maana urafiki wao unadumu mpaka wanakua kama familia.
From now onwards I will be having only male friends [emoji19][emoji19].
Kuanzia kazi hadi maisha yakawaida yaliharibika walicopy na kupaste i admit mie sio more beutiful but Iam . Walinifunga hadi basi nikafunga hadi biashara yangu saivi na uguzwa tu kwa hili na lile na mambo mengi walionivuruguia