Kwanini Wanawake wa Bongo Movie wana mafanikio kuliko Wanaume?

Kwanini Wanawake wa Bongo Movie wana mafanikio kuliko Wanaume?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Imegundulika Kuwa Waigizaji Wa KIKE ( Bongo Movie ) Pekee Ndiyo Hufanikiwa Sana Na Haraka a.k.a KUTUSUA Mapema Kimaisha Kuliko Wale Wa Kiume Lakini Pia Kama Hiyo Haitoshi Imegundulika Kuwa Wanamuziki wa KIUME ( Bongo Flavor ) Pekee Ndiyo Hufanikiwa Kwa Kiwango Kikubwa Mno Kuliko Wale Wanamuziki Wa Kike.

SWALI KWENU.

Kipi Kinapelekea Tofauti Hii? Kuna Siri Gani Nyuma Ya Pazia Imejificha na Ambayo Akina NGUMBARU Siye Hatuijui? Karibuni Membaz Tujadili.
 
Ni Msanii gani wa kike wa bongo movie aliefanikiwa kimaisha?
 
Unautani na bongo movie wewe
Juzi kati mmoja wao amekiri wakike wao wanaishi kwa kujiuza kwa matajiri
 
Uchangudoa unalipa kwakweli. Wasanii wa kike wa muziki wengi sio wazuri kihivo compared to wa Muvi, wa Muvi wengi wanauzika sana kwa mapedeshee na wazee wa mjengoni
 
Back
Top Bottom