Kwanini wanawake wa Kitanzania siku hizi wanamwita Zari the boss lady "Bibi Tukinao"?

Kwanini wanawake wa Kitanzania siku hizi wanamwita Zari the boss lady "Bibi Tukinao"?

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Halo JF celebrities.

Nimekuwa nikiona mitandaoni, Zari The Boss Lady akiitwa Bi Tukinao! Wanaomwita hivyo ni wanawake. Sasa hili jina maana yake nini na kwanini kabatizwa hivyo?
 
Heeeeeeh makubwa lol, ila na weee usitake kujua mengi,
 
Hawa choka mbaya wana wivu tu na huyo mama wa kiganda

Hivi tukiwapanga hapa Zari,Wema,Mange,Lulu,Hamisa.
Kati ya hao kama hatuto wauliza umri nani anatakiwa kuitwa bibi tukinao ?
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom