Kwanini wanawake wa Kitanzania siku hizi wanamwita Zari the boss lady "Bibi Tukinao"?

Kwanini wanawake wa Kitanzania siku hizi wanamwita Zari the boss lady "Bibi Tukinao"?

Wanawake ndio huishi hivyo, ni ngumu sana kupendana.

Mange anadai yeye ni mrembo kuliko Zari, sasa ukimbishia anamtukana Zari.
 
Halo JF celebrities.

Nimekuwa nikiona mitandaoni, Zari The Boss Lady akiitwa Bi Tukinao! Wanaomwita hivyo ni wanawake. Sasa hili jina maana yake nini na kwanini kabatizwa hivyo?
Wanawake tuna wivu sana sometimes uskute wanaomuita hivo hawamfikii kwa chochote hata dhambi amewazidi
 
Back
Top Bottom