Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Jibu swali kwanzaWe ni mwanaume mkuu?
Nimeona InstagramEbu tuambie ww unahisi ni kwann,
Ila umeyajuaje haya?!
Ahaa, binafsi msitumii insta kwahyo sijuiNimeona Instagram
Mimi sijui ndiyo maana nikaja jukwaa hili kuulizaAhaa, binafsi msitumii insta kwahyo sijui
[emoji848]ila ww unahisi ni kwann wanamuita hvyo?!
Hili jukwaa la celebrities, funguka tu.Heeeeeeh makubwa lol, ila na weee usitake kujua mengi,
Halo JF celebrities.
Nimekuwa nikiona mitandaoni, Zari The Boss Lady akiitwa Bi Tukinao! Wanaomwita hivyo ni wanawake. Sasa hili jina maana yake nini na kwanini kabatizwa hivyo?
Sasa kwanini wanamwita hivyo?Hivi neno siku hizi mwisho ni siku ngapi?manake Zari kaanza kuitwa tukinao miaka mingi
Nataka kujua nini maana ya hili jina Tukinao
Etieeee?Ni wivu tu
Ni wivu tu
Kuna uzi umepandishwa una majibu ya swali lako.Hili jukwaa la celebrities, funguka tu.
Nimeuona, kumbe lilishaulizwa swali hili siku nyingi.Kuna uzi umepandishwa una majibu ya swali lako.
Ouk poaahNimeuona, kumbe lilishaulizwa swali hili siku nyingi.
Sasa kwanini wanamwita hivyo?