Kwanini Wanawake wakati wa Mvua huchangamka na Kuipenda, ila Wanaume huwanyong'onyesha na huichukia?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kuna Jibu moja hilo nimepewa nimebakia Kuvunjika tu Mbavu ( Kucheka ) sana japo ni la ' Kisayansi ' hivyo ngoja nione na hapa Kwenu Wajuvi Wabobezi ( Pundits ) wa JamiiForums kama nitakutana nalo au hapana.

Watanzania ni Watu wa Vituko sana tu.
 
Mvua ikinyesha mwanaume anakamuliwa....
Namsubiri hapa wangu aje nimkamue kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…