Kwanini wanawake wakishikwa maziwa yanakuwa makubwa lakini wakishikwa makalio hayawi makubwa?

Kwanini wanawake wakishikwa maziwa yanakuwa makubwa lakini wakishikwa makalio hayawi makubwa?

Hakuna ushahidi wa kisayansi kuwa wanawake wakishikwa matiti yanakuwa makubwa ila ni dhana tu iliojengeka ktk jamii ktk rika fulani.
 
Wakuu kwa nini wanawake wakishikwa shikwa maziwa yao yanakuwa makubwa na mengine yanadondoka kabisa yanakuwa kama ndala lakini wakati huo huo ukiwashika matakoo hayawi makubwa

Kwa maana ukichukulia kigezo cha sensitive bado makalio ni sensitive part kuliko sehemu nyingine yoyote ile ya mwanamke na ndio maana baadhi ya shule wamepiga marufuku kupiga wanawake bakora za matakoni kwa sababu wanawake sehemu hiyo ipo very sensitive ukigusa kidogo tu unaibua hisia za mapenzi
Watu wa karibu kuwauliza ni dada zako au mama yako. No offence!
 
Repeated action of prolactin hormone to the breast tissues reduce elasticity of tissues especially cooper's ligaments which hold and keep the breast in its position
 
Uongo wangu nini?

Umetokea shimoni wewe?

Kwani ni kitu kigeni hiki kusikia kwamba mwanamke anayeshikwa shikwa maziwa maziwa yanakuwa makubwa na yakishikwa zaidi yanadondoka?
Yanadondoka?
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom