Kwanini wanawake wakishikwa maziwa yanakuwa makubwa lakini wakishikwa makalio hayawi makubwa?

Hakuna ushahidi wa kisayansi kuwa wanawake wakishikwa matiti yanakuwa makubwa ila ni dhana tu iliojengeka ktk jamii ktk rika fulani.
 
Watu wa karibu kuwauliza ni dada zako au mama yako. No offence!
 
Repeated action of prolactin hormone to the breast tissues reduce elasticity of tissues especially cooper's ligaments which hold and keep the breast in its position
 
Uongo wangu nini?

Umetokea shimoni wewe?

Kwani ni kitu kigeni hiki kusikia kwamba mwanamke anayeshikwa shikwa maziwa maziwa yanakuwa makubwa na yakishikwa zaidi yanadondoka?
Yanadondoka?
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…