Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #121
Ukicheka usicheke ukweli ndio huo ulidhani watu hatukufahamu humu?Oohh waow u got me. (Hu hu huuu am afraid uwiii usinianikee hahhaaha)
Pesa ya pombe na supu za utumbo ndo uchumi wetu kingineeeeeeee
Anikaaaa banabana si unajua kabisa umbea hauna posho haya shosti ango songoka hapa
Kaka unamaanisha maziwa kimiminika au matiti?Uongo wangu nini?
Umetokea shimoni wewe?
Kwani ni kitu kigeni hiki kusikia kwamba mwanamke anayeshikwa shikwa maziwa maziwa yanakuwa makubwa na yakishikwa zaidi yanadondoka?
Ndo kua uyaone!!! [emoji23][emoji23][emoji23]Na kusoma kote vitabu vya biology sijawahi kukutana na case kama hii...
Karibu
Hua unanifurahisha aiseee halafu punguza maneno makali ili usipate ban.Karibu
nilikuwa namrekebisha huyo kenge ambaye hana mkiaHua unanifurahisha aiseee halafu punguza maneno makali ili usipate ban.
Hahaaaaaaaaaaa mkuu utanivunja mbavu aiseee et .......... Ww ulijuaje kwanzabasi una moyo niliyoyasema yale hayakuwa utani
Namfahamu numbisa amekeketwa sio kwamba nilikuwa nasema ili mradi
Namfahamu ila yeye hanijui ndio maana alikuwa anashangaa nimejuaje vitu vyake vingiHahaaaaaaaaaaa mkuu utanivunja mbavu aiseee et .......... Ww ulijuaje kwanza
Unamaanisha ulishawahi kucheza nae mchezo wa kikubwaNamfahamu ila yeye hanijui ndio maana alikuwa anashangaa nimejuaje vitu vyake vingi