Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #121
Ukicheka usicheke ukweli ndio huo ulidhani watu hatukufahamu humu?Oohh waow u got me. (Hu hu huuu am afraid uwiii usinianikee hahhaaha)
Pesa ya pombe na supu za utumbo ndo uchumi wetu kingineeeeeeee
Anikaaaa banabana si unajua kabisa umbea hauna posho haya shosti ango songoka hapa
Mwanamke aliyekeketwa ni laana na hapaswi kupaza sauti mbele ya kadamnasi