Kwanini wanawake wakishikwa maziwa yanakuwa makubwa lakini wakishikwa makalio hayawi makubwa?

Kwanini wanawake wakishikwa maziwa yanakuwa makubwa lakini wakishikwa makalio hayawi makubwa?

kwahiyo nyie mkishikwa vibamia vyenu vinakuwa bilinganya??? cha mno mi-mbupu inatepeta tu
 
  • Thanks
Reactions: MC7
HR 666 samahani kidogo malizia kwanza tasks zako hapo halafu rudi tena hapa
 
Huu utafiti ulifanyia wapi kuhusu tako kuwa sehem sensitive zaidi kwa mwanamke?
 
Maziwa makubwa au madogo no maumbile ya MTU muache kudanganyana kuna watu hawajawahi kushikwa na yamedondoka na kuna wengine kila Siku ynavutwa lakini yamesimama dede
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji111]
 
Matiti ya mwanamke yanaweza yasishikwe na yakawa makubwa tu, Si kweli kwamba makalio ni sehemu sensitive zaidi ya sehemu zote za mwanamke. Mwanafunzi wa kike hachapwi kwenye makalio kwa sababu ya delicateness ya mwili wake. Kimsingi wanawake walitakiwa was I cheap we kabisa kwa sababu hakuna sehemu suitable ktk mwili wao ambapo unaweza kuwachapa. Ila kwa sababu adhabu hiyo ya bakora si vema ikawa ya jinsia moja ndio maana ni bora wachapwe hata mikononi coz hakutakauwa na madhara mkubwa sana.
NB: Usije ukawaona wanawake wana matiti makubwa ukahisi hao ndio wameshikwa sana, utawakosea. Wapo wanaoshikwa sana na still matiti yao ni madogo tu.
Asante na karibu.
 
Hakuna uhusiano kati ya mwanamke kushikwashikwa manyonyo na kuongezeka ikubwa ni swala la maumbile tu zamani hata mm niliamini ivo nikimuona mdada ana maziwa makubwa najua huyu keishalala na midume kibao Kumbe wapi wapo wanawake wana watoto hata sita bila shaka wameshikwa sana na kunyonywa mazwa Lakini unakuta maziwa yao yapo vzr na yamesimama fresh tu
 
Matiti ya mwanamke yanaweza yasishikwe na yakawa makubwa tu, Si kweli kwamba makalio ni sehemu sensitive zaidi ya sehemu zote za mwanamke. Mwanafunzi wa kike hachapwi kwenye makalio kwa sababu ya delicateness ya mwili wake. Kimsingi wanawake walitakiwa was I cheap we kabisa kwa sababu hakuna sehemu suitable ktk mwili wao ambapo unaweza kuwachapa. Ila kwa sababu adhabu hiyo ya bakora si vema ikawa ya jinsia moja ndio maana ni bora wachapwe hata mikononi coz hakutakauwa na madhara mkubwa sana.
NB: Usije ukawaona wanawake wana matiti makubwa ukahisi hao ndio wameshikwa sana, utawakosea. Wapo wanaoshikwa sana na still matiti yao ni madogo tu.
Asante na karibu.
Was I cheap we=wasichapwe
 
Hakuna ujinga huo. Aliekuambia ukishika maziwa yanakua ni nani. Km ingekuwa hivyo basi walioolewa wangekuwa na maziwa makubwa zaidi ya miili yao
 
Back
Top Bottom