EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,086
wanawafunga waume zao. utakuta mme haeleweki yaani, anavaa mishati haieleweki, hana msaada kwa ukoo wake, yeye anatazama mke tu.Umethibitishaje?
N ngumu kutafuta suluhu wakati hujatupa uthibitisho
Wanaume tuwe makini sana, maana wanatulisha vitu vya ajabu sana hawa viumbe ili kutudhibiti.Hio kitu ipo tu sana kwa wanawake ..kuna ndugu yangu mmoja alioa wake wawili hasa baada ya kuona mke mkubwa anamzingua
So akawa anakaa kwa mke mdg ...siku moja kamtembele mke mkubwa akaandaliwa msosi fresh tu.....ile kushika sahaniiii Mara vuuup sahani kule....katikati ya ugali lilichomoka konokono hai ...apo imagine msosi wa moto
Kweli aisee, hapa tunakosea sana.Wewe unachukua wanawake wasiojua kanisa wala msikiti mpaka sikukuu au maulidi unakuta mkaka unachukua demu au unaoa mke hata kuomba hajui acha mfanyiwe ushirikiana mpaka mkome[emoji849][emoji849][emoji849]
Hii kitu misaada kwa ukoo! Huwa inanichefua sana. Mtu mwenye mawazo kama haya hawezi kuendelea, tafuta vyako baadala ya kulalama ati usaidiwe. Je, unayeshadidia asaidie ukoo; ukoo una Mchango gani katika ukuaji wake kiuchumi?wanawafunga waume zao. utakuta mme haeleweki yaani, anavaa mishati haieleweki, hana msaada kwa ukoo wake, yeye anatazama mke tu.
ukiwa na roho ya ubinafsi huwezi kunielewa nini namaanisha.Hii kitu misaada kwa ukoo! Huwa inanichefua sana. Mtu mwenye mawazo kama haya hawezi kuendelea, tafuta vyako baadala ya kulalama ati usaidiwe. Je, unayeshadidia asaidie ukoo; ukoo una Mchango gani katika ukuaji wake kiuchumi?
Huyo mwanamke aliyekufunga ndio kakusomesha? ndio kakukuza kwa maji na chakula? Ukitumia akili zako utanielewa tu. Ila ukitumia akili za kufungwa huwezi kunielewa.Hii kitu misaada kwa ukoo! Huwa inanichefua sana. Mtu mwenye mawazo kama haya hawezi kuendelea, tafuta vyako baadala ya kulalama ati usaidiwe. Je, unayeshadidia asaidie ukoo; ukoo una Mchango gani katika ukuaji wake kiuchumi?
Acha kudai misaada ni tabia za kukaribisha umaskiniukiwa na roho ya ubinafsi huwezi kunielewa nini namaanisha.
Ukizaa mtoto ni wajibu wako kuhakikisha unamfanyia kila kitu ulichokisema. Lakini si wajibu wake kukutunza ila ni fadhila za mtoto(sunna). Acha akili za kimaskini ati usaidie ukoo (sharing of poverty)Huyo mwanamke aliyekufunga ndio kakusomesha? ndio kakukuza kwa maji na chakula? Ukitumia akili zako utanielewa tu. Ila ukitumia akili za kufungwa huwezi kunielewa.