Kwanini wanawake wanajiondoa kwenye makundi ya mapishi?

Kwanini wanawake wanajiondoa kwenye makundi ya mapishi?

Sijapata ma, natamani sana yani kuna group moja la rubii kazi kuchat hawapiki hawafundishani mxyuuu (msonyo wa hamorapa)
Kuna group ngoja nicheki kama nitaweza kukupa link yake, ni mapishi tu no story.
 
Mimi pia napenda sana kupika naombeni link nijiunge.
 
Huwa halin link group likiwa na link linakuwa na fujo sana ndo maan hili halina link kuepusha kero kero
 
Back
Top Bottom