TheOnlySurvivor
Senior Member
- Oct 7, 2019
- 109
- 277
Kuna jamaa , bosi wangu alinambia kitu ambacho huwa nakifanyia kaz kwa umakin sana.Alisema , as long as u have turned 30 's usichukulie poa badiliko lolote la kiafya unapolihis mwilin.Nenda hospital kujua tatizo na upate matibabuInaweza kuwa ni sababu mojawapo ila kinachoongoza kutuua sisi huwa hatujali afya zetu tunachukulia poa tu