Kwanini wanawake wanalia?

Inaweza kuwa ni sababu mojawapo ila kinachoongoza kutuua sisi huwa hatujali afya zetu tunachukulia poa tu
Kuna jamaa , bosi wangu alinambia kitu ambacho huwa nakifanyia kaz kwa umakin sana.Alisema , as long as u have turned 30 's usichukulie poa badiliko lolote la kiafya unapolihis mwilin.Nenda hospital kujua tatizo na upate matibabu
 
Hivi kwanini wanalia sana ikitokea habari mbaya?
Kumbe wewe ni kidume? Aisee nilikua kwenye harakati za kukupigia mahesabu Mkuu, nashukuru umenisaidia sana. JF burudani sana!
 
Kuna jamaa , bosi wangu alinambia kitu ambacho huwa nakifanyia kaz kwa umakin sana.Alisema , as long as u have turned 30 's usichukulie poa badiliko lolote la kiafya unapolihis mwilin.Nenda hospital kujua tatizo na upate matibabu
Yes mkuu yuko sahihi watu tunakujaga kujishtukia situation ishakua worst
 
Kuna wanawake huwa wanalia kimkakati.Unaweza kukuta wakati wanaelekea msibani wako fresh tu wanapiga story kama kawaida.Wanaambiana tukifika mahali Fulani wakikaribia msibani wanaanza kulia mpaka machozi na makamasi kabisa kama sio wao waliokuwa wanapiga story!
 
Moyo unauma saana anakukuta unapiga ukunga weeeh ukimaliza unajifuta machozi unatoka nje unatabasamu..kama hujalia vile maisha haya..ingawa sio siku zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…