Iringa Native
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 961
- 3,055
kuogopa hutegemea eneo mhusika ameishi....mfano huwezi kukuta bint wa kimang'ati aliekulia kijijini mfano pawaga akawa anaogopa mdudu,mwaka mfani nikiwa Babati maeno ya Endakiso tulikuwa tunatembea na wenzangu ghafla tukashitukia Nyoka mbele yetu tutakumbia ila ajabu bint wa kimang'ati alisimama hakukimbia,alitafuta fimbo akamuua ila sasa ukienda Dar es salaam utakuta binti wa kimang'ati anaogopa hadi mende....
Pia kwa mtu alienda Sumbawanga akitokea Mpanda bhas analijua dalaja lile ambalo lipo pale mwanzo unapoinza Hifadhi ya taifa ya Katavi,chini ya dalaja kuna mto ambao huwa unakuwa na viboko wengi sana yan hata 50 wanafika,jambo ambalo la kushangaza pamoja na uwepo wa wale viboko nilikuta mabint kama wanne wanapita kwa miguu bila hata wasiwasi wakati mimi nilikuwa nawaza gari ikizima itakuaje!