Kwanini wanawake wanapenda kupata vingi kutoka kwa wanaume? Siku hizi wanapeana shule kabisa kumchuma mwanaume!

Kwanini wanawake wanapenda kupata vingi kutoka kwa wanaume? Siku hizi wanapeana shule kabisa kumchuma mwanaume!

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Hii tabia ya wanawake kupenda kula vingi vya mwanaume, kulelewa au kupata kila kitu kwa wanaume itakuja kufikia mwisho?
Kasi ya wanawake kufundishana kupata vitu kutoka kwa wanaume inazidi kila siku! Hili ni janga.
 
Back
Top Bottom