Kwanini wanawake wanapenda kupata vingi kutoka kwa wanaume? Siku hizi wanapeana shule kabisa kumchuma mwanaume!

Kwanini wanawake wanapenda kupata vingi kutoka kwa wanaume? Siku hizi wanapeana shule kabisa kumchuma mwanaume!

Ikifikiaga hapa ndo utaona jinsi wanavyojua kuichambua nature na maandiko matatifu kuhusiana na uwajibikaji wa wanaume kwa wanawake... Hapa ndo utawakuta kwenye double standard.
Hata kama sio 50/50 lakini ni vizuri nao wanawake wawajibike nao wawape vitu wanaume.
 
Kumbe unapenda kitonga utagongewa sana mke wako haijalishi hata kama anafanya kazi analipwa millioni kama men lazima kuhudumia ipo kotokote kwenye dini hata kisheria
Kama mwanamke unafanya kazi pesa zako unapeleka wapi?
 
Bro umekaa abroad mda mrefu😅😅 bongo siku ya kwanza tu , ukikutana na mrembo gesi yake inaisha , nywele zinafumuka , kodi inadaiwa na mama yake anameza shoka yanahitajika matibabu ya haraka.
Dah. Poleni.
 
Linaonekana Ni Litamu Mnoo Kotekote Ilo Totorii ###NjeYaMada###
 
Hivi ukinunuliwa kitu kwa pesa yako hiyo bado itakuwa zawadi au mtu amekusaidia kununua kitu tu?
Ni zawadi bado. Kitendo cha kuchagua zawadi tu nacho ni zawadi hata kama pesa ni zako. Unaweza kuwa na oesa lakini hujafikiria kununua kitabu kipya cha Abdulrazak Gurnah (Nobel laureate, 2021) "Theft" kinachotika wiki ijayo.

Lakini yeye akajua unapenda vitabu, unamfuatilia Gurnah, akakununulia.
 
Back
Top Bottom