Kwanini wanawake wanapenda kutusaliti cc wanaume?

vicent Makemba

New Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
4
Reaction score
3
Iv inakuadje mnapanga mipango mingi ww na demu wko then mwixho wa cku ata mpango mmoja haujakamilika anakuja Kukuambia kwmb fanya yko wala ucmfikilie iv n nn cha kufanya?!
 
Kwa mwandiko huo bora usalitiwe ndugu. By the way usaliti pote pote. Hakuna ajabu wewe kusalitiwa.
 
Reactions: Luv
Iv inakuadje mnapanga mipango mingi ww na demu wko then mwixho wa cku ata mpango mmoja haujakamilika anakuja Kukuambia kwmb fanya yko wala ucmfikilie iv n nn cha kufanya?!
Atakuwa hakuona aina ya uandishi wako kabla hamjaanza kuwa wapenzi.

Jifunze uandishi mzuri la sivyo utasalitiwa kila mara.
 
Hakuna sehemu mwanaume anaambiwa apange mipango yake na mwanamke..
Mwanaume hupanga Mipango yake na Mungu..
Maana ni huyo pekee ambaye hataacha hata chembe la Agano lake lisitimie..
 
Sasa ndo umeandika nini hapo, achana na mademu panga mipango yako na mwanamke.
 
Weukimuma mwanamke anakunana uku wewe bado unamuitaji nawa nimojatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…