vicent Makemba
New Member
- Feb 6, 2017
- 4
- 3
Iv inakuadje mnapanga mipango mingi ww na demu wko then mwixho wa cku ata mpango mmoja haujakamilika anakuja Kukuambia kwmb fanya yko wala ucmfikilie iv n nn cha kufanya?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa hakuona aina ya uandishi wako kabla hamjaanza kuwa wapenzi.Iv inakuadje mnapanga mipango mingi ww na demu wko then mwixho wa cku ata mpango mmoja haujakamilika anakuja Kukuambia kwmb fanya yko wala ucmfikilie iv n nn cha kufanya?!
mwixho, cku, kwmb, ucmfikilie, iv, n, nn
Ako na Stress, kachanganyikiwa😉Sijui ni kitu gani umeandika hapo? Anyway new member jifunze kuandika ki JF sasa.