Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Hawanywi pombe mkuu.[emoji484][emoji898]
Lita-haribikaje au kuchakaa wakati hata pancha tu hafunguwi tairi mpaka amuite mwanamume ambadilishie, akiambiwa ni bovu linavimba atampigia mwanamume (au Noss/ mchepuko) ampe jipya
Petrol yenyewe haweki kwa pesa yake
Safari ya kwenda kwao atajiuliza mara 10, aombe lift au mafuta, mara paap kambeba serengeti amuendeshee mpaka Kijijini kwa lakini ampe akiziona nyumba
Ni lini ulipewa lift na mwanamke hebu kaa barabarani uangalie madereva pembeni yao wanakaa kina nani ndipo uje tuendelee na majibu
Champagnee
1. Gari linahitaji huduma za Mara kwa Mara hivyo inahitaji utoaji wa pesa, wanawake wengi hizo services hugharamikiwa na wanaume zao hivyo hawana uchungu na pesa hivyo hata kamchubuko atakwenda kukafuta
2. Mizunguko ya mwanamke ni midogo ukilinganisha na mwanaume pia wanaume hufanya mizunguko hatarishi mfano safari ndefu usiku
3.wanawake wengi wanamagari yenye mashariti ni ngumu kukuta gari ya mwanamke anaazimisha azimisha kwa washikaji anaogopa sponsor akiona atachukia lakini wanaume waazimana kiurahisi eg ole wako nikute umempakia mwanaume nakupokonya
4 nature wanawake wanapenda usafi kuliko wanaume
5Upatikanaji wa magari, asilimia ya wanaume hununua magari by 100% kwa pesa zao wakati wanawake 100% kwa njia moja ama nyingine husaidiwa eg MTU kahongwa gari anajua likifa kupata tena mtihani lazima alitunze
Sasa wanawake 95% wagari siyo yao,either wamenunuliwa au wanaendesha ya wame zao.sasa akikitumia rough kuja kupewa tena lingine ni jambo gumu hivyo inawapasa kuyatunza.
Wakuu habari za jumapili.
Ndugu hawa jinsia ya KE ni watunzaji sana wa vyombo vya moto kuliko sisi wanaume. Mfano sister yangu alinunua gari toyota ist 2015 ni namba C lakini mpaka sasa imesimama hatari hata hizi namba D mpya hazigusi na Brother mwingine yeye alidaka harrier 2018 lakin kaicheki utaona imeshapoteza upya imechoka choka.
Hawa jinsia ya KE ni watunzaji sana wa magari ni sababu gani inafanya sisi jinsia ya ME magari yetu yanawahi kuchoka na utakuta sometimes mmenunua gari pamoja na siku moja.
Nunua gari model moja na KE siku moja, afu baada ya mwaka mlinganishe utaona gari ya ME imechoka hawa KE wanaendeshaje gari?
Gari ya totoz wangu, kama ya mwaume .. huu msemo gari inatumika na mwanamke ni wa kidwanzi..
waharibifu tu, ndio maana nimetoa mfano wa mtu wa katibu kabisaMkuu umetoka nje ya mada
1. Gari linahitaji huduma za Mara kwa Mara hivyo inahitaji utoaji wa pesa, wanawake wengi hizo services hugharamikiwa na wanaume zao hivyo hawana uchungu na pesa hivyo hata kamchubuko atakwenda kukafuta
2. Mizunguko ya mwanamke ni midogo ukilinganisha na mwanaume pia wanaume hufanya mizunguko hatarishi mfano safari ndefu usiku
3.wanawake wengi wanamagari yenye mashariti ni ngumu kukuta gari ya mwanamke anaazimisha azimisha kwa washikaji anaogopa sponsor akiona atachukia lakini wanaume waazimana kiurahisi eg ole wako nikute umempakia mwanaume nakupokonya
4 nature wanawake wanapenda usafi kuliko wanaume
5Upatikanaji wa magari, asilimia ya wanaume hununua magari by 100% kwa pesa zao wakati wanawake 100% kwa njia moja ama nyingine husaidiwa eg MTU kahongwa gari anajua likifa kupata tena mtihani lazima alitunze
Gari ha mwanamke inaweza kuwa nzuri kwa kuitazama nje. Ila ukiendesha unaweza kutamani kushuka.Wakuu habari za jumapili.