Kwanini wanawake wanavaa skin Tait?

Kwanini wanawake wanavaa skin Tait?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Hii nguo inafaida gani kwa wanawake skin Tait kwanini hasa ivaliwe mbona zamani walivaa underskirt kwanini wameacha underskirt wamerukia skin Tait hili swali linaniumiza sana.
 
Hii nguo inafaida gani kwa wanawake skin Tait kwanini hasa ivaliwe mbona zamani walivaa underskirt kwanini wameacha underskirt wamerukia skin Tait hili swali linaniumiza sana.
Shida iko wapi? Hiyo underskirt ilikuwa ina faida gani kwako?
 
Wanawake walipendeza sana enzi za underskirt. Kwanza akivua nguo za nje na kubaki na underskirt ilikua burudani tosha.
Hata akitembea mbele yako amevaa skirt au gauni safi na ndani kuna underskirt mwenyewe lazima uone raha.
I hate skin tight.
Mzee shkamoo....dah underskirt...!!??😬😬
 
Back
Top Bottom