Kwanini wanawake wanavaa skin Tait?

Kuzuia kubakwa, kuzuia makalio kutikisika wakati akitembea au kukimbia, kuzuia mchubuko wa mapaja hasa wanawake wanene, skin tight imekua ni fashion ya kisasa na kadhalika
 
Mbaya unakuta mdada kavaa skin tight kama bukta...refuuu akitembea akikaa linaonekana ahahaha
Nahisi yanakuwaga magumu ahahahahaha


🤣🤣🤣wengine anavaa tite ndefu nguo ya juu fupi..au dela na skintyt lakn tyt ananyanyua dela ionekane🤧🤧🤧🤧!..argghh
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wengine anavaa tite ndefu nguo ya juu fupi..au dela na skintyt lakn tyt ananyanyua dela ionekane[emoji1784][emoji1784][emoji1784][emoji1784]!..argghh
Siyapendi hayo na huwa hawajui kuwa ni ya kishamba unakuta binti mjanja kweli ila kavaa hilo wakati fupi zipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee kwani unakosa nini kwa wao kuvaa hizo 'tait'! Ama umemiss underskirt, si uende madukani nawe ununue, mbona nyingi tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…