Kwanini wanawake wanavutiwa na mimi japo sio handsome, sina hela wala sijui kuvaa vizuri?

Kwanini wanawake wanavutiwa na mimi japo sio handsome, sina hela wala sijui kuvaa vizuri?

Na wanawake wanatofautiana level, huenda ni level zako maake ndege wafananao huruka pamoja.
 
😂😂😂😂😂
Haki ya Nani..Kuna watu mpo jf kumfurahisha tu yna2..🤣🤣 ahsante Sana
 
Pengine ni hayo matege ya miguu uliyonayo mkuu,,
Inasemeka amwanamme mwenye tege hapo kiunoni ni mlemavu
 
Back
Top Bottom