Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nayemtaka hana time.
Nisiyemtaka ana time.
Unayemtaka nani?
Usiyemtaka nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nayemtaka hana time.
Nisiyemtaka ana time.
Ndoa co lazma Ila inawaongezea heshimaTusitishane.
Ni kweli mkuu, siku hizi tunashuhudia ndoa za kidume kwa kidume. Kazi mnayo..
Mtasemaje wanawake hawaolewi? Hizi harusi lukuki mnaoana wenyewe si bure
Mtasemaje wanawake hawaolewi? Hizi harusi lukuki mnaoana wenyewe si bure
Hakuna dem asietaka kuolewa labda rihannaNdiyo na Hapana.
Walk away from both!Nayemtaka hana time.
Nisiyemtaka ana time.
Imekua too much hakika, sijui watu hawapitii nyuzi zingine kabla ya kuleta zao.JF ina watu wenye tabia ya kurudia kuzungumzia jambo moja over n over again.
Miongoni mwa mada hizo ni suala la Punyeto, Vibamia na habari ya wanawake kutoolewa au single mothers.
Kinachonishangaza yote haya yameshajadiliwa sana humu na wanaojadili ni wale wale.
Inastaajabisha Wallah.
Naona..maana wamekazana hatuolewi wkt tunashuhudia maharusi kila siku.So wanaume wameshtukia utamu wa dushe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawana jipyaJF ina watu wenye tabia ya kurudia kuzungumzia jambo moja over n over again.