1. Wanaume ni wachache
2. Wengi kati ya hao wachache ni wahuni
3. Hivyo wanaume wanaotaka kuoa ni wachache saaaana
4. Wanawake ambao wanataka kuoelewa ni weeeengi saaana
5. Kwahyo mwisho wa siku wanawake wengi ni lazima hawataolewa kwa namna yoyote ile.
6. THREAD CLOSED
Posted by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)
Utafiti anzia kwenye familia yako, jiulize je dada zako, mabinamu, wadogo zako hawajaolewa kama jibu ni ndio basi kunatatizo.
Zaidi ni kwamba mtu kulilia kuolewa ni yeye na kiu yake, usijumlishe kwamba wanawake hawaolewi wakati kuna watu wameoshewa mpendwa pendwa kila siku ndoa zinafungwa,
Pia lazima ufahamu kuna wadada wamejipanga kimaisha na hawana haja ya kuolewa zaidi akitaka dyudyu! Anamtu wake anamdunyua.
Wanawake wa sasa kazi na pesa, dyu!dyu baadae