Vitaimana
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 3,535
- 1,562
Mbona mnasahau kitu DESTINY? Majaaliwa yana nafasi yake ktk maisha! wengine wanapenda ndoa ila hawazipati.
Lakini kikubwa wadada tujue kuji position wengi wakiwa ktk mahusiano hawajui kujiposition as wife materials wanajiposition kimovie sana hapo lzm mjomba ageuke filbert bay.
Cha tatu maamuzi binafsi unaweza kuta nimeanza mapenzi nina 18 yrs. hapa nimekutana na breakdown za moyo za kutosha so mpaka nafikia 25+ nakuwa na mtazamo hasi kuhusu men na Mungu akinijalia kazi nzuri ntaona daa bora nifanye kazi nizae na yoyote then niishi kama single mother.