Siohuna habari sema watu hawana habari nawewe... Wanaolewa watoto wawafalme na pesa zao zote wewe na vishilingi vyako vya madafu kelele kibao
Ni kwa sababu wanaume wengi siku hizi hawaowi. Watoto wa kiume siku hizi bure kabisa hawataki kutengeneza familia.Habari zenu.
Jana nilikuwa mgahawa fulani hapa mjini. Katika story story kuna dada akaanza kulalamika umri unazidi kwenda na hawapati mwenza na wengine wanaanza kulalamika pia juu ya kutopata wenza.
Nahitaji kujua ni kwanini hawaolewi?
Naomba tuchangie mada
Zomea hilo "yoooooooooooooo"nyoo eti siolewi,siolewi nina kipato,huna lolote,sema huna quality za kuwa mke bora,wanakuchapa na wanasepa,unaringa una kipato vi millioni tatu hivyo na kigari chako cha mkopo eti siolewi,mna fake kila kitu,kuanzia nywele,ngozi,the way you walk,the way you talk,mavazi,mmesahau mambo yenu ya asili,kila kitu fake,hamuwezi kufua eti kucha zitakatika,kila muda kuchart,wewe ni Admin wa magroup matatu ya whatsap yote ya umbea na fashion utakumbuka kumpikia mume wako,mi nikikutana na wewe nakupa laki mbili nachapa na kusepa,wanawake kumbukeni"MWANAMKE KUOLEWA NI BAHATI,ILA MWANAUME KUOA NI MAAMUZI"so lazima mkubali ku-show humbleness and maturity na kamwe hamwezi kushindana na sisi!
Exactly my thoughts, handwriting do tell a lot about one's characters.nikabwaga manyanga mimi mwenyewe lakini hata leo nikitaka naolewa na ninakwita uje ule, unywe bureee, acha wewe kuna watu tumeoshewa mpendwa pendwa.
Hahahahahaha!!!!!!!!! wacha nicheke mie,
mimi mwenzio wazazi wangu walishapokea mahari, na mbwembwe zoteeee, kifupi mshenga nilimshughulisha na pilau lilipikwa, na nikabwaga manyanga mimi mwenyewe lakini hata leo nikitaka naolewa na ninakwita uje ule, unywe bureee, acha wewe kuna watu tumeoshewa mpendwa pendwa.
Siku wanao uliowazaa na wanaume tofauti wakianza kutaka kuwajua baba zao ndio na kukuuliza kwanini kila mtu ana baba ake ndio utajua PESA sio heshima..
Sio kweli eti hamtaki kuolewa sema hujapata the right choice 4u!any decent lady like to be in marriage ajilie dyu dyu kwa heshima na taadhima!!hayo mambo ya eti akitaka dyu dyu ana mtu wake anampa ni uhuni tu!
wacha wee!😱 sema hakayamungu😱
Umeongea mengiii ila sijapata point yako, tatizo lako nini wewe hata kama ningekua na kipato cha elfu kumi nikaridhika ila simtumikii mtu, wacha nicheke mie, bado huna unalojua kuhusu maisha wewe mtoto ila unaweweseka tu, anyway ngoja nikuongeze sababu nyingine nzito ili unye tikiti.
- Siolewi kwakua wanaume wengi 90% nihamna nguvu za kiume na hata wenye nazo bado ni ladie's finger
- hamna pesa mnapenda kulelewa ndio maana nanyie mnot.........bwa mfano wewe hapo.
Hahahahaha!!!!!!!!!! usipite huku, dada yako natapika, naona dalili yakuchafua hali ya hewa na kupewa bani.
aisee! Umenifanya nimkumbuke top manyota... Hvi bado unamtoa udenda?
kutufula imyenda ansee!
Hahahahahaha!!!!!!!!!!!! mweeee!!!!!!! uthinichekeshe mie. ndio namwandalia kibutii maana ni sheeeeeedah.
''hata leo nikitaka naolewa'' uolewe ili iweje Sasa? Siulisema utakia kuolewa? Pia atakaeoa mzoga nae zombie tuHahahahahaha!!!!!!!!! wacha nicheke mie,
mimi mwenzio wazazi wangu walishapokea mahari, na mbwembwe zoteeee, kifupi mshenga nilimshughulisha na pilau lilipikwa, na nikabwaga manyanga mimi mwenyewe lakini hata leo nikitaka naolewa na ninakwita uje ule, unywe bureee, acha wewe kuna watu tumeoshewa mpendwa pendwa.
Mkombozi wetu Vigra kaja, mtatuoa tu mwaka huu