''hata leo nikitaka naolewa'' uolewe ili iweje Sasa? Siulisema utakia kuolewa? Pia atakaeoa mzoga nae zombie tu
Nishamaliza huu mjadala, natumia mitandao ya kijamii kwa kutafutia pesa, kutoa maoni yangu n.k sio kutafuta maisha ya mtu asiye na faida kwangu, niolewe au nisiolewe hilo ni juu yangu, au unahisi nakuchukulia bwana ndio maana OMO inakutoka???????
Usiniquote tena, maana sitakujibu maana naona unanichanganya tu nahangaika na hela mie, we unaehangaikia dyudyu subiri nikuletee makungwi wakupe kitchen party.
usiniqoute tafadhali nishafunga mjadala nawe.
Habari zenu.
Jana nilikuwa mgahawa fulani hapa mjini. Katika story story kuna dada akaanza kulalamika umri unazidi kwenda na hawapati mwenza na wengine wanaanza kulalamika pia juu ya kutopata wenza.
Nahitaji kujua ni kwanini hawaolewi?
Naomba tuchangie mada
Unamtongoza demu leo kesho unapigwa mzinga wa laki mbili. utaoa kweli hapo?
Unampenda demu unageuka kuwa mtaji wake na familia yake. mara sina hela ya kula, mara hela ya chakula nyumbani, mara matatizo ya mama, mdogo wangu n.k. hapo hujaoa bado lazima utafute mlango wa kutokea.
Nywele kila wiki elfu 50, cm ya 1.5m abadilishe baada ya miezi 6, nguo, viatu, mikoba,vipodozi bajeti laki5 every month hapo bado matanuzi mengine sijaongelea gari wala nini na mimi salary yangu TGS D. Lazima nisepe.
Una mtoto mkali na umempenda kweli mwisho wa siku unakuta kuna wenzio 7. Nyote mnapewa papuchi. Lazima ukimbie.
Nina kisa kimoja nimewahi kukutana na demu mmoja hivi alikuja ofisini kwetu. Kwakweli alikuwa mzuri sana na mimi nilitokea kumpenda sana huku nikiamini kama mke basi ndo huyu. Akaniachia namba yake ya simu na mimi bila kupoteza muda nikaanza kumtongoza. mwanzoni alikuwa mkali sana akijifanya hanikumbuki kama tumewahi kukutana ama amewahi kunipa namba yake ya simu, alikuwa ananitolea majibu makali ya kukatisha tamaa na sometime hapokei simu wala hajibu msg na akipokea simu tunaongea kidogo anakata na ndo hapokei tena. Alinitesa sana aisee kama wiki mbili hivi. Siku moja bila kutarajia akanipigia simu tukaongea vizuri nilifurahi sana na nikaomba tukutane mlimani city tuongee. Unajua nini alichonijibu? basi ni hiki "Wewe una sh. ngapi tukutane?" Nikawa kama sijamwelewa. Nikamuuliza kwani niandae sh. ngapi? chochote utakachotaka utapata usijali. akaniuliza tena "una sh. ngapi tukutane?" Nikabaki sielewi nini cha kumjibu akanikatia simu. Ikabidi nimpigie nikamuuliza unamaanisha hela ya kwenda kuspend? au una shida yoyote? au unamaanisha mambo ya sexx? akajibu hivyo hivyo unavyoelewa na akakata simu. Na mimi akili kumkichwa nikamtumia msg nina laki moja fasta akajibu nije wapi. nikamwambia njoo Kagame hotel nyuma ya stand ya mkoa. Nikiwa siamini mtoto akatia timu nikamgegeda vitatu fasta nikampa kilo yake akatimua nikawa kila nikimhitaji napiga nampa chake anatimua ila bei ikawa inapungua ilifikia hadi kwenye 20,000/=. Na baadae nikamchoka nikaachana nae. Ila nilibaki na maswali mengi kichwani hivi mdada mzuri kama huyu unatokea mtu unampenda na una nia ya kumuoa ila anakuonyesha wazi yuko kimaslahi na anachofanya ni biashara tu...duh! inasikitisha make nilichopata sicho nilichokitarajia.
1. Wanaume ni wachache
2. Wengi kati ya hao wachache ni wahuni
3. Kuna mashoga ambao hawaoi wanetembea na wanaume wenzao
4. Kuna mahanithi, hawana nguvu za kiume
5. Kuna walevi kupindukia ambao hawana muda na wanawake kabisaaaa, wao starehe yao ni pombe tu
6. Hivyo wanaume wanaotaka kuoa ni wachache saaaana
7. Wanawake ambao wanataka kuoelewa ni weeeengi saaana
8. Kwahyo mwisho wa siku wanawake wengi kati ya wengi wanaotaka kuolewa ni lazima hawataolewa kwa namna yoyote ile.
9. THREAD CLOSED
Posted by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)
Hiyo ni kweli mkuu, dah hoiyo no moja ilisababisha nitembee kama gogo tu mie, no salamu wala nini, eti unambembeleza mtu wakati kila mmoja ana hajas na mwenzake haa. Haiwezekani aisee, afadhasli kuendelea kuwa kauzu na sura ngumu kuliko hata simba. KUdadadeki eti mdada unamwita anajifanya hakusikii,hahaha huyo afadhali apigwe na shoti ya umeme kuliko kukutana na mimi ala.Wanawake kutoolewa naweza nkasema kunasababishwa na vitu vitatu.
1.Kujisikia kwao na kuringa pasipo na sababu za msingi.Unaweza ukamtokea binti kwa nia njema tu lakini akawa analeta nyodo na maringo.Pia wengine wanakuwa na masharti magumu sana zaidi hata ya waganga,mara uwe na gari aina flani,huwe na hela za kutosha n.k. Wanawake wa dizaini hii huwa wanakosaga watu wakuwa nao maisha kwasababu ya masharti yao ya ajabu ajabu na tamaa.
2.Sababu ya pili naweza nkasema kitenda cha sisi wanaume kupiga na kuacha mara kwa mara kinachangia kwa kiasi fulani.Just imagine msichana ambaye ameshaangukia ktk bad relations mara nyingi,hufikia wakati anakosa imani na kila anayekuja,matokeo yake umri unaenda .
3.Hii sababu ya tatu pia inarudi kwetu tena mens.Wengi tunapenda ule msemo wa Mwana FA kuwa bado tupo tupo kwanza.Just imagine kijana anaamua kutooa mpaka ajipange vizuri kimaisha kwanza,let say kwenye 35 ndio anaamua kuoa,unadhan atamuoa yule waliyekuwa wote chuo??(wa umri wake).Ni kitu ambacho ni nadra sana,hapa atatafutwa mwenye 20's ndio atawekwa ndani.Yule wa 35 je?? Kwa style hii wengi huwa wanakuwa na mawazo sana.
But mimi ningewashauri dada zangu kutatua matatizo yaliyo upande wao mfano kuringa,dharau n.k...alafu yaliyo upande wetu sisi Mwenyezi Mungu atawapigania.
#Analyse
Mashoga na mahanithi wanapunguza idadi ya waoaji.