Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia kondomu za kike?

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
3,480
Reaction score
914
Ni ukweli usiopingika asilimia kubwa ya wanawake hawapendi kutumia condom za kike kwa kigezo tu kwamba eti zina usumbufu katika kuzivaa, kwani waliozi-design kwa ajili yenu hawakuliona hilo? Acheni hizo bana watu wametumia akili nyingi na muda mwingi kubuni hiyo kitu kwa ajili yenu halafu mnazikataa!

Nimefanya research nyingi kwenye vituo vya afya na kwenye maduka ya madawa, condom za kike zinakaa store mpaka zinaexpire na kutupwa.
 
kwa sababu uvaaji wake ni riski kwetu unatumbukiza ndani y papuchi inaweza zama huko ni shida.... ila mwanaume anavaa kwa nje ya dushe haina tatizo hiyo labda uchukue size ndogo ikubane au kubwa ukupwaye ndiyo tatizo kwako
 
Ngoja wanakuja hapa kutoa maelezo
 
Labda hazileti raha, kwa nini gymnasiums?
 
Hawapendi kuzivaa kwasababu wewe utavaa.. Unataka nyote mvae condom?
 
kwa sababu uvaaji wake ni riski kwetu unatumbukiza ndani y papuchi inaweza zama huko ni shida.... ila mwanaume anavaa kwa nje ya dushe haina tatizo hiyo labda uchukue size ndogo ikubane au kubwa ukupwaye ndiyo tatizo kwako

Miss Chagga, ivi una umri gani? na je unaishi Dar? naomba unijibu (ata via PM) please, maswali yangu ni kwa nia njema kabisa.
 
Miss Chagga, ivi una umri gani? na je unaishi Dar? naomba unijibu (ata via PM) please, maswali yangu ni kwa nia njema kabisa.

Ha ha mkuu mbona maswali magumu .... niambie nia njema yako nitakwambia
 
Lara1,Heaven on Earth, Evelyn Salt etc njooni mtueleze kwanini hampendi kuvaa kondom za kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…