amakyasya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 3,480
- 914
Ni ukweli usiopingika asilimia kubwa ya wanawake hawapendi kutumia condom za kike kwa kigezo tu kwamba eti zina usumbufu katika kuzivaa, kwani waliozi-design kwa ajili yenu hawakuliona hilo? Acheni hizo bana watu wametumia akili nyingi na muda mwingi kubuni hiyo kitu kwa ajili yenu halafu mnazikataa!
Nimefanya research nyingi kwenye vituo vya afya na kwenye maduka ya madawa, condom za kike zinakaa store mpaka zinaexpire na kutupwa.
Nimefanya research nyingi kwenye vituo vya afya na kwenye maduka ya madawa, condom za kike zinakaa store mpaka zinaexpire na kutupwa.