Kwanini wanawake wengi huwazimia masupa staa??

Mie hapa hata sijui sababu

ama kuongeza CV kwamba hata Etoo Na Kingi Majuto nae kwenye record walikuwepo

oops
 
Ulimbukeni wanawake wana akili fupi kama za kuku.
 

umesahau kuweka na mwenye kifua......he he he....
sasa je.....umesema kila kitu.......
 
Kwakuwa wewe huwazimikii na kuwashobokea masupa staa, unaonaje ukianza rasmi kujinanafasi na mie?
kwi kwi kwi ! tukutane canada basi, alipo mkulu! atatupa lift ya kurudia, lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…