Dhambi moja haihalalishi wala hairamishi nyingine tambua kuwa na wewe ulishiriki dhambi ya uzinzi na huyo mdada ukakataa dhambi ya kumvunja duka hukumu yako iko palepale wala hujakwepa kitu
Hii ndiyo democrasia mkuu. Nimependa mistari yako sanaa! MANENO HAYO..., NI MZANI USIO NA SHAKA. Mtu unapata wapi haki ya kuhukumu ilhali wew mtoa hukumu unajihesabia haki kutenda kosa??? Yeye ni mzinzi..., afu anamnyooshea kidole mzibuliwa choo..., afu anapata wafuasi kibao wenye uthubutu wa kumtaja hata Mungu...,etii...WANAMTETEA MZINZI afunguliwe na MZIBULIWA CHOO eti asulibiwe!
Mngepewa nafasi ya kuuhukumu ulimwengu..., nina hakika MNGEMNYOOSHEA KIDOLE mwenye kosa la kuiba kuku...na mngemtukuza fisadi mwenye kosa la kuhujumu uchumi, ambapo athari ya uhujumu uchumi inakurudia wew hakimu na wanao na wajukuu...wew hujui. Tu ni kwa sababu fisadi yuko smart, akija kweny makusanyiko yenu anatoa msaada wa mitumba na chakula kwa yatima, analeta msaada wa baiskeli chakavu/used kwa underground wa vikoba n.k.
HIVIII, MACHO YENU YANAONA KWA UMBALI GANI KIFIKRAA??? Mbona hamfanyi maamuzi sahihi??? Mbona hesabu ni ndogo tu yakuifanya mwanafunz wa std one na akapata vema. Kwa nin niny mliopekua makabrasha lukuki inawashinda hesabu hiyo??? AU MNA MTAZAMO WA DHAMBI "*.muipendayo kwa uwingi wenu...na dhambi muichukiayo kwa uwingi wenu???
KAMA NDIVYO..., MUONGOZO WENU NI UPI WA KUTANABAHISHA JEMA...NA..BAYA??? Kuishi kwa mazoea ndio kunatuponza, nimejua. Ndio maana wengi...wake kwa waume wa kada na itikadi tofauti wamemsema vibaya mwanamke alohitaji huduma ya kinyume na maumbile....lakini hawajamsema mwanaume anayewateremsha vyupi wanawake bila ya ndoa...huyu mmemuona ni mwema, naye pia kajiona ni mwema. Wengne wamethubutu kusema mwanamke huyooo...ungemkata makofi, ni wao walio ndio waliomzibua huyo mwanamke kwa ulaghai wao kama huyu mzinzi alivomlaghai.
TOA KWANZA KIBANZI CHAKO MACHONI PAKO.....NDIPO UKAMTOE NA MWENZAKO.