Perpendicular
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,494
- 1,183
ww ulijuaje? kama Comfanya bac utakuwa mfanyiwa[emoji125] [emoji125] [emoji125]Unajuaje? au wanafanyiaga uwanjani? au ndo nyie wazee wa tafiti?
Weka ushahidi mkuu, umekuwa tu subjective.Toa sababu zako na jinsi gani ya kusolve hili tatizo.
Ni kweli sule wanaipenda lakini kwa hili!!!??Magu aangalie kwa jicho la tatu
Mimba wanaogopa maradhi jeee??Mungu pia hawamwogopi???Labda wanaogopa mimba wamepata alternative.
Inabidi elimu iongezwe kuhusu ili jambo kuwaonya hawa madogo.
Mtandaoni tu ndio tatizo kubwa mkuu madogo wana stream tu na 4G hii balaa tupu.