Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23] aiseeehKhooo khooo hivi wanaume huwa hawaoni harufu mbayaaa ya nyaaaaa
Looh wana moyo wa uvumilivu
Chafyaaaaaaaaa mafua
kama kuna ukweli hapa..!!Hii tabia ni miongoni mwa sababu za ongezeko la kujifungua kwa operesheni hasa kwa wadada/ wamama wa mijini.
Wanawake tuache ujinga huo, madhara yake ni makubwa zaidi
Hahahah!! Aisee sasa ambae hulinae sahani moja na ke au me?hiv inaraha gan sasa apo alafu mtu anaye fanya hivyo ni mchafuu na kama nikimjua sili nae saani moja
ila akina dada wengine ni shida aisee hivi unakutana na lidada limejaaliwa kama sanchoka,gigy,kajala au unakutana na masogange unaliachaje kwa mfano?? kama dhambi potelea mbali ......Wapeanee wenyewe watuache sisi.
Watu asilimia kubwa hawana uvumilivu na na chochotee kuna mdada akienda toilet lazima watu wakaoshe kwa kina maana mihaja imetapakaa kila kona.
Ukiangalia anajiheshimu maana yeye anaheshimika watu wamzoea akienda toilet anachafua hali ya hewa.
Maisha ni kujipenda jidhamini sio unafuata mkumboo.
Au unamkubalia hasidi akuchezee huko kama mpira au bembea .
Kweli nafurahia sijawahi kukubali vitu vya dhamani kisa hivyo.
Mtu anakupa kila kitu jiulize asilimia kubwa mbona hawataki wapo makwao mpaka waolewe ?wewe uanajiona unawezaaa.
So.unajiaribu.
Kwa taarifa yako ikishakuwa kama uwazi kama nchi fulani ndio hakuna mtu anakuambia jamboo.
Upooo tu so utajisort.
Kwa maana unakuwa unavaa pampers kujikinga na mharo .
Wenzako wajikinga na magonjwa wewe unajikinga na mharoo aibuu.
Unakuta unatoa tu kwa watu tuuu.
Ndio sifa.
Haya weee.
Kuna mtu hayupo etiii.
Kafa na kensa sio mmoja .
Kisa mmnaijua .
Mmeadhirika sana.
Kiakili au kimwili kama unga bila kupekechwa hamjaliwa vizuri.
Bora uwe single kama.nilazima.
Muandiko std 1Dear jifunze kutofautisha R na L,H na A.
Pia katika sentensi ni vyema ukajua sehemu gani ya kuweka nukta,mkato,alama ya mshangao na alama ya kiulizo.Ni hayo tu kwa leo.
Wana macho ila hawaoniNdyo maana Mungu ameamua kujitenga nasi!
we mdau sayansi yako hii nimeipenda umesoma chuo gani??na mimi nikasome..Kinyesi kikitoka nihakina shida maana ile ni uchafu ambao tumbo imetoa kwa hiyo kinyesi kile kikishatoka nikina bakteria kwa maana nitakataka so mtu akifanyiwa kule kina kirefu hurudisha takataka zile ambazo tumbo imetoa ambazo haitakiwi kukaa tumboni
So analeta kwenye tumbo lililosafi tayari kwa kupokea chakula kingine so akiwa anafanyiwa vile zile chembe chembe za kinyesi kinarudi tena tumboni kwa hiyo inaleta bacteria ambazo hazitakiwi tumboni.
So inaozesha utumbo halafu unapata cancer au ugonjwa usio na dawa.
So mf. Umekula ndizi lile ganda ukatupa ukaja tena ukarudishia kwenye ndizi safi ukafichia ndizi ukaja ukala lazima upate kipindu pindu au ugonjwa watumbo so ndio hivyo hivyo.
Duh hizi sayansi nyingine ndio nazisikia Tz tuwe mdau sayansi yako hii nimeipenda umesoma chuo gani??na mimi nikasome..
Makerere Universitywe mdau sayansi yako hii nimeipenda umesoma chuo gani??na mimi nikasome..
Umeona eh ! NOMA yote hii nikusisitiza hali ni mbaya kwa kila mtu wanaume mmewafanya wawe kwenye maisha ya tigo tu.Duh hizi sayansi nyingine ndio nazisikia Tz tu