Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio kwamba nawatetea......
but huwezi sema kwa mfano kwa nini watu wengi wanapenda
kuvuta sigara,bila kujua jinsi sigara ilivyo addictive na jinsi
ambavyo ni vigumu kuacha.
sio wanawake wote wanaoingiliwa kinyume na maumbile wanapenda
au kujua madhara yake.....
wengine wanaanza utotoni......
wengine wanafuata mkumbo,wengine wanafundishwa na jamii
mfano nyimbo za taarabu,
wengine wanalazimishwa na wanaume waliowapenda n.k
jiulize kama wanaume wengi tungekuwa hatupendi
kuwaingilia kinyume na maumbile,nani angewaingilia????
tusiendeleze utamaduni wa blaming the victims.....
zamani ilikuwa ni wanawake mashangingi na malaya tu
ndo wanaopenda mchezo huo.but siku hizi
ni karibu wanawake aina zote,wanafunzi,waimba kwaya,wake za watu.wasomi,
matajiri n.k
sababu ni nyingi lakini zaidi ni kuwakuna wanaume wengi siku hizi
ambao hupenda kuwaingilia wanwake kinyume na maumbile
hata kwa nguvu.
duh!
deh deh deh! nilienda kumpa kampani taiga wudi, lile skendo lake limemlet chini kweli, misd u vile vile . anakupeni hi wana jf anasema akishakujifunza kiswahili atajoini jf.heheee u are back!!!!!!!! nguo zililowekwa nini??????? misd u big time!!! happy new yr!!!!!!
deh deh deh! nilienda kumpa kampani taiga wudi, lile skendo lake limemlet chini kweli, misd u vile vile . anakupeni hi wana jf anasema akishakujifunza kiswahili atajoini jf.
siku hizi bwana na wao wanakwambia kabisa nifanyie kwa nyuma. Anakwambia tujaribu. Ukijaribu anakwambia siyo hivyo fanya taratibu kwanza.nadhani swali lingekuwa kwanini wanaume wengi siku hizi wanapenda kuwaingilia wanawake au wanaume wenzao kinyume cha maumbile. Sote tunafahamu kuwa kwa kiasi kikubwa mapenzi yanaongozwa/yanatawaliwa na wanaume hasa katika jamii za kiafrika ambako mfumo dume bado una nguvu sana.
Matokeo ya UTANDAWAZI!!!
Kuna mdada amenunuliwa nadia kwa sababu ya kutoa tigo,kwa mwendo huo ako kamchezo hakataisha!
Ila si tabia njema hasa kwa wanaotarajia kupata watoto kwa mwanamke ni kijambo kwa kwenda mbele wakati wa kuzaa wakati kwa mwaname ni aibu bse uume ulioutumia kwenye tigo ndo wataka zalisha mtoto kwa kutumia uume huo huo na huyo mtoto akiwa bazazi utalaumu si ni mtoto wa tigo.
LAAAAAAAAAAANA
kwani kutoa tigo ni kuharibu utu?mmh huyo dada nampa pole sana anaharibu utu wake kisa nadia
kwani kutoa tigo ni kuharibu utu?
kivipi yaani bht? huaribu utu namna gani? problrm ukiwapa wengi!ooh sounds like u know waht it is kama si kuharibu utu!!!! wewe zegere weee