Ibofwee
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 1,305
- 2,452
Acha kukuza mambo ww, mke nae ni demu tu
Mkuu kama mchepuko ana chura nakushauri usiachane nae manake maumiv ya kuachwa na demu mwenye chura ndembendembe nilishayapitia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama mchepuko ana chura nakushauri usiachane nae manake maumiv ya kuachwa na demu mwenye chura ndembendembe nilishayapitia.
Nmejaribu kujenga picha.. wewe una mke ,una watoto , lets say hata kiumri uko kwa above 30+ ....
Daaah kwamba bado tu unaendeshwa na upumbavu wa mapenzi ,??,
Yaan sio tu kwamba umechepuka, bali umechepuka na bado umevuka boda , hahah siku moja napo utamwomba mkeo Tigo ?
Una tatizo kubwa sana !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app