Kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile?

Ndoto ya mwanamke Ni kumdhibiti mwanaume..
Ndoto ya mwanaume Ni kummliki mwanamke.
Mwana kulitafta mwana kulipata
 
dadeki ukigongewa wewe utavimba siku nzima



"Not everything is for everybody"
 
Mkuu umefunguka yaliyo moyoni wengi wanafanya hayo na kufanyiwa pia ila hawatakubaliana na wewe kwakuwa wanaficha haiba zao,geuka usijitukuze kwa machafu Bali fata njia iliyo njema binadamu hatosheki,umepewa mke ukatafuta mchepuko ukaona haitoshi ukaenda kinyume na bado hutoridhika hizo ni tamaa za mwili na mwili katu hautosheki tumia hekima kuongoza akili yako,badilika
 
[emoji108][emoji108]nakazia


Kingsmann

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shuka pale chini Jukwaa La Wakubwa..

Ukajionee.
Hapa mi nawazoom tu kisha nacheka ka Magu...ihiiii..
 
rafiki yangu mbona hilo ni jambo dogo sana.

sikiliza,mimi ni baharia sina mke,nataka nikusaidie mwanaume mwenzangu uondokane na hilo janga.

cha kufanya nitumie namba yake PM haraka sasa hv. mimi ntamtongoza nauhakika hawezi kuchomoa.

ili wewe uwe huru na ndoa yako kwani ntakuwa na mbidua bidua kila kona ya mwili wake.

niamini mimi hautaona simu yake wala mesej zake kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 

"haraka sasa hivi"...

😂😂😂😂😂😂👍👍👍
 
Kuolewa ni kitu kizuri kwani kuna heshima fulani na mipaka mtu anakuonyeshea .
Unajifeel good but suddenly wanaume ndio wamezidi kwa huu mtandao pendwa.
Kulikuwa kuna kamkusanyiko kamarafiki kabla ya kuwa na corona .

Basi nikaomba muzee out nikawafuata tukaanza kubonga bia za hapa napale na furaha zotee zikajipa.

Imefika saa nane wakaka na wababa wa makamu wakaja kukaa meza inayofuata .
Na stori zao baada ya kuagiza vinywaji ni kama zifuatazo.

Bros juzi nilikutana na pisi matata dah nikaipakia gari nakuisomesha ramani mara ya kwanza alikuwa anavimba kucheki na ndinga vizuri aliyopakiwa nayo akasikilizia muziki.
Nikapanga siku za kuuwa temboo.

Ilipofikia huo muda huyo dada akagoma mtandao pendwa woi nikalazimisha bado kagoma basi nikahairisha mechi.

Akasepa ile narudi tu nilipata pisi elewa yaani niwahasara ila alinipa kila nitakalo hadi nikaona nimefika hewani naelea bila parashooti nilienjoy mbaya sasa tukaona ngoja tuweke masikio vizuri kila mtu anadai yupo busy na simu na hakuna tena makelele.
Kisa tumepigwa na butwa kisa nyie waumini. Wa haya madudu.

Sasa mwingine akadai hadi mkewe anapenda huo mtandao pendwa mwingine anadai hadi baadhi ya wanaume wanamkodi kisa kuwafumua marinda chai mbona dunia imegeuzwa juu chini , chini juu.

Kwanini msiwe tu mnapenda vitu vya halali.
Tuliambiwa tusizini tukazini na sasa sio kuzini ni hao nao wanaotaka mambo ya aibu.
Mme wako anakufumua marinda kila ijioni na asubuhi utasema nawe umeolewa .
Unamchumba ila anafumua marinda wanaume wenzake na hilo limkokoteni lake unakuja kuliweka mdomoni na wewe unafumuliwa .

Wajameni huko ni maradhi makubwa kufanyiwa .

Goodnight people and take care corona ipoo mjikingee na cancer pia.
 
Ungeweka paragraph.....unatupa tabu kusoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…