Nshakataa mpk kuolewa kwa huo mchezo! Yaani Mimi naamini kabisa kua hyo kitu ni dhambi kubwa sanaa ndo maana Mungu amekemea mpk ndoani wasifanye,Zinaa ya kawaida ni dhambi kwa wasio wana ndoa Tu!
Tatizo wanadamu wanataka wao kwa kua waumini wa hyo kitu basi wanataka kila MTU ashiriki au aisifu,ukiwa tofauti nao ktk maamuzi unaonekana wa ajabu au watakuattack kwa namna yoyote.Mimi si msafi nna dhambi zangu nyingi Tu lakini hii ya "liwati"" sodoma na gomora"Mimi hapana.Siishiriki na wala siisifu kwa kua ni mbaya mnoo!Wanaofanya wafanye kwa kibri chao lakini wajue kua ni haramu kulawiti.
Hata Zinaa ni haramu lakini munafanya